Posted on: July 15th, 2025
Timu ya Wataamu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mkoa imefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo yenye thamani zaidi ya shilingi Bilioni 5.3 inayotekelezwa Wilayani Kilosa.
Zia...
Posted on: July 12th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa imekusanya Mapato kiasi cha shilingi Milioni 262 kwa kuuza zao la ufuta kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Divisheni ...
Posted on: June 30th, 2025
Wananchi ndani na nje ya Wilaya ya Kilosa wametakiwa kutumia fursa za uwekezaji zilizopo Wilayani humo ili kuhakikisha uchumi unaimarika na kuleta maendeleo.
Wito huo umetolewa Juni 30, 20...